Kiswahili

Home / Current (int.) / Other languages / Archive by category "Kiswahili"
MATHAYO 24:35-44

MATHAYO 24:35-44

MAJILIO 2 NOVEMBA 19, 2006 MAHUBIRI NA MCH. ELIA M. MANDE KUTOKA MATHAYO 24:35-44 (Predigt in Kiswahili verfasst, aus Tansania) Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo anasema, “Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kwamwe”. Ndivyo! Neno la Kristo ni la uhakika zaidi tena ladumu milele. Lakini tazama, mbingu na nchi zitapita. Hivyo yatupasa…

Weiterlesen / continue reading
Mark 13:32-37

Mark 13:32-37

3rd Last Sunday 12 th Nov. 2006 A Sermon by Grayson Z. Mtango based on Mark 13:32-37 Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na upendo wa Mungu Baba na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen. Sala: Bwana Yesu Neno lako ndio kweli tutakase na kweli yako. Amen Kichwa: MWENYE KUVUMILIA HATA MWISHO NDIYE…

Weiterlesen / continue reading
Luke 6:27 – 38

Luke 6:27 – 38

TRINITY 20, OCTOBER 29, 2006 A SERMON ON LUKE 6:27 – 38 (KISWAHILI) BY DAWSON CHAO “IWENI NA HURUMA KAMA BABA YENU WA MBINGUNI” Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu,watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi, wabarikieni wale ambao wawalaani ninyi, wao mbeeni wale ambao wawaonea ninyi. Akupigaye shavu moja, mgeuzie la pili, naye akunyang’anyae…

Weiterlesen / continue reading
I Thessalonicher 4:13-18

I Thessalonicher 4:13-18

Siku ya Watakatifu 05 Nov. 2006 NENO KUU – UENYEJI WA MBINGUNI Israel Y. Natse Neno la Mahubiri ni kutoka I Thes. 4:13-18 Na Mch. Israel Y. Natse “Lakini, ndugu hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na…

Weiterlesen / continue reading
Yohana 5:24-29

Yohana 5:24-29

JUMAPILI, NOVEMBA 26, 2006. Siku ya Bwana ya Mwisho kabla ya Majilio. Uzima wa Ulimwengu ujao. Neno linatoka injili ya Yohana 5:24-29 na Mch. John Anderson Moshi Utangulizi: Injili ya kiroho kama Klementi wa Iskanderia (B.K. 150 -215) alivyoiita, ndiyo injili inayotofautiana na injili zingine tatu na inaonyesha kujifunua kwa Yesu Kristo katika ulimwengu. Hivyo…

Weiterlesen / continue reading
Marko 2:23 – 28

Marko 2:23 – 28

JUMAPILI, OKTOBA 8, 2006 Siku ya Bwana ya 17 baada ya Utatu. Neno linatoka Injili ya Marko 2:23 – 28 na Mch. John Moshi UHURU WA MKRISTO Utangulizi: Mtu yeyote anayeitwa mkristo, anatajwa kwa jina la Kristo, hivyo hana haja ya kuwa na mashaka juu ya ukristo wake. Kila mtu atakubaliana nami kuwa asiyekuwa mkristo…

Weiterlesen / continue reading
MARKO 5:25-33

MARKO 5:25-33

UTATU 19, OKTOBA 22, 2006 MAHUBIRI NA MCH. ELIA M. MANDE KUTOKA MARKO 5:25-33 Ndugu mpendwa, Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo katika kufundisha na kuhubiri kwake Habari Njema za Ufalme wa mbinguni pia alitenda miujiza. Alifufua wafu na hata aliponya wagonjwa ambao waliteseka kwa miaka mingi kwa tiba mbalimbali na kwa gharama kubwa bila…

Weiterlesen / continue reading
MATHAYO 18:1-19

MATHAYO 18:1-19

UTATU 16, OKTOBA 1, 2006 MAHUBIRI KUTOKA MATHAYO 18:1-19 Elia M. Mande Ndugu mpendwa, katika somo hili Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo, analeta kwetu ujumbe muhimu kuhusu unyenyekevu, makosa kwa ujumla, makosa yetu tukijikosesha sisi wenyewe, tukiwakosea na kuwakosesha watu wengine na zaidi ya hayo yote Bwana daima anamtafuta kila mmoja wetu aingie katika…

Weiterlesen / continue reading
Jude 1:17-23

Jude 1:17-23

TRINITY 18, OCTOBER 15, 2006 A Sermon Based on Jude 1:17-23 (UV) By Awumsuri Masuki “ Bali ninyi,wapenzi,yakumbukeni maneno yaliyonenwa zamani na mitume wa Bwana wetu Yesu Kristo, ya kwamba waliwaambia ya kuwa,wakati wa mwisho watakuwako watu wenye kudhihaki, wakizifuata tama zao wenyewe za upotevu. Watu hao ndio waletao matengano, watu wa dunia hii tu,…

Weiterlesen / continue reading
JOB. 8: 8 – 22

JOB. 8: 8 – 22

NEW YEAR’S EVE, January 1, 2007 A SERMON BY REV. DAWSON E. CHAO BASED ON JOB. 8: 8 – 22 Somo: Ayubu 8: 8 – 22 Neno Kuu: MUNGU HAMTUPI MTU WAKE Kusudi: Wote wamtegemee Mungu pasipo shaka wakijua kwamba Mungu ni mwaminifu hatamtupa mtu wake nje, wachamungu na wote wanaomtegemea Yesu Kristo, atawabariki kwa…

Weiterlesen / continue reading
Yeremia 31:31 – 34

Yeremia 31:31 – 34

MAHUBIRI KATIKA JUMAPILI YA I KATIKA MAJILIO (ADVENT I TAREHE 3/12/2006) YAMEANDALIWA NA MCH. ELISHIISA W. MBISE MADA KUU: BWANA ANALIJIA KANISA LAKE. NENO LA MAHUBIRI: YEREMIA 31:31 – 34 Nalo linasema hivi: Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya Agano Jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda. Si kwa mfano wa agano lile…

Weiterlesen / continue reading
Mathew 2:13 – 23

Mathew 2:13 – 23

CHRISTMAS I, DECEMBER 25, 2006 A SERMON BY PETER K. MSENGI BASED ON Mathew 2:13 – 23 YESU KRISTO MWANA WA MUNGU “ Hata ulipowadia utimilifu wa wakati, Mungu alimtuma mwanawe ambaye amezaliwa na mwanamke, amezaliwa chini ya sheria, kusudi awakomboe hao waliokuwa chini ya sheria, ili sisi tupate kupokea hali ya kuwa wana”. Gal….

Weiterlesen / continue reading
Mathayo 16:21-27

Mathayo 16:21-27

7 TH SUNDAY BEFORE EASTER (GUINGUAGESIMA), 18.02.2007 Predigt zu MATHAYO 16:21-27, verfasst von Grayson Z. Mstango Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo na upendo wa Mungu na Ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen. SOMO: INJILI YA MATHAYO 16:21-27 Sala: Karibu Yesu, useme nasi kwa Neno lako la uzima. Amen. Kichwa: Tazama Tunapanda kwenda…

Weiterlesen / continue reading
Luke 3:1-6

Luke 3:1-6

III ADVENT 17, DECEMBER, 2006 A SERMON BY AMINI A. NJAU BASED ON LUKE 3:1-6 MTANGULIZI WA YESU KRISTO (YOHANA MBATIZAJI) Sura ya 3 na sura ya 4:1-13, ni maelzo juu ya maandalizi ya kazi ya Yesu Kristo ya kufundisha Injili. Aidha inatueleza juu ya Yesu Kristo kufikia utu-uzima na sasa mwandishi anatuonyesha jinsi Mungu…

Weiterlesen / continue reading
Luke 1:39 – 44

Luke 1:39 – 44

FOURTH ADVENT, DECEMBER 24, 2006 A SERMON BY REV. OBED M. AKYOO BASED ON LUKE 1:39 – 44 1. Utangulizi Mpendwa msomaji upo usemi unaosema “Mwanadamu si Kisiwa”. Usemi huu unaonesha jinsi ambavyo binadamu tunahitajiana, tena mwanadamu hawezi kujikamilisha peke yake, lazima kuhusiana kwa sababu mbalimbali mfano kubadilishana uzoefu, kufarijiana na hata kusaidiana kwa sababu…

Weiterlesen / continue reading
Marko 13:24-27

Marko 13:24-27

JUMAPILI TAREHE 10 DESEMBA, 2006 SIKU YA BWANA YA PILI KATIKA MAJILIO MAHUBIRI KUTOKA INJILI YA MARKO 13:24-27 “BWANA ANAKUJA KATIKA UFALME WAKE” Mara nyingi watu wa Mungu hasa sisi Wakristo tumepata kuhubiriwa na hata kujisomea wenyewe katika maandiko ya Biblia kuhusu matukio ya siku za mwisho. Mwanzoni mwa sura hii ya Injili ya Marko…

Weiterlesen / continue reading
Isaiah 9: 2-7

Isaiah 9: 2-7

Christmas Eve 24.12. 2006 A Sermon Based on Isaiah 9: 2-7 (UV) by Awumsuri Masuki “Watu wale waliokwenda katika giza wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru kuu imewaangaza. Umeliongeza taifa, Umezidisha furaha yao, wanafurahi mbele zako, kama furaha ya wakati wa mavuno, kama watu wafurahivyo wagawanyapo nyara. Kwa maana…

Weiterlesen / continue reading
de_DEDeutsch